Suche einschränken:
Zur Kasse

6 Ergebnisse.

Janga la Werevu

Mohamed, Said A.
Janga la Werevu
Anaingia Mwendawazimu. Kavaa mararu. Kurunzi inamfuata kila anapopiga hatua. Anaonekana mchafu. Hajakoga milele. Kwa hivyo weusi wake wa ngozi umekuwa tititi na kurembwa na weupe wa chumvi ya jasho inayolala juu ya mwili wake siku zote. Anapofika mbele ya hadhira anabingiriabingiria na kugaragara huku akichekacheka kiwazimuwazimu. Kisha anasita ghafla na kutazama mara kadha juu, chini, mbele na nyuma kwa macho yake makali yanayotisha. Anaoneka...

CHF 28.90

Mhanga Nafsi Yangu

Mohamed, Said A.
Mhanga Nafsi Yangu
Katika Mhanga Nafsi Yangu tunachorewa dunia iliyoharibiwamtu achote riziki yake. Kwa hivyo utabiri wa wahenga unathibitikana kukamilika.nchi na watu wake kwenda kuishi na kutafuta riziki yake Peponi.Anahajiri na kuishi Peponi kwa sababu kwao hakuna maishaShangazi yake aliyemfanyia wema wa kumleta Peponi ndiyewalizonazo wenyeji kuhusu wageni - hasa wageni weusi, yanaonekana ni mazingira ya ubaguzi na udhalilishaji! Hatimayematumaini ya Peponi y...

CHF 40.90

Nyuso za Mwanamke

Mohamed, Said A.
Nyuso za Mwanamke
Mwanamke kama dutu la udongo wa mfinyanzi huumbwa na kuumbuliwana jamii kwa namna mbalimbali. Kama kinyonga, uso wake unabeba rangitofauti tofauti kulingana na mikondo ya maisha na mapigo ya wakati.Itakuwaje mwanamke awe wa kuozwa kama mwenye ugaga wa hisia zakujichagulia mwenyewe, au awe wa kuuzwa kama pakacha la maembekatika soko la umma? Uso wa mwanamke ni njia mbilimbili, ikiwa hazaianalea, asipokuwa akirembesha anarembeshwa, kama hatumbui...

CHF 52.50

Kimya Kimya Kimya

Mohamed, Said A.
Kimya Kimya Kimya
Mvutano baina ya Kulia na Kushoto umekuwa mzito. Mbelehawaendi, nyuma hawaendi, kulia na kushoto hawaendi. Kushotoanataka kwenda kulia, hawezi. Kulia anataka kwenda kushoto, nayehawezi pia. Kwa kuelekezana migongo na kuvutana pande zote, hawaendi popote. Kushoto analalama, "Mbona siendi mbele?Najitahidi, najivuta, najisukuma lakini..." Kumbe sababu ya hayayote ni kimya!Hali hii itabadilika pale tu watakapokaa kimya, na wakiruhusu kimyakusema. ...

CHF 28.90

Wheat Productivity by Using some Biofertilizers & Antioxi...

Mohamed Youseif Zewail, Reda / A. El-Desouky, Said / M. Abd El-Haleem Khedr, Zakaria
Wheat Productivity by Using some Biofertilizers & Antioxidants
Wheat plant (Triticum aestivum. L) is the most important plant in family poaceae, from cereal crops because it has an international nutritional human feeding. The wheat plants considered one of the main cereal crops not only in Egypt but also all over the world. Biofertilizers one of the important management that assist to increase productivity and the reduction of using chemical fertilizers and alteration by biofertilizer treatments. Nitrogen...

CHF 107.00

Kamusi YA Visawe/Swahili Dictionary of Synonyms = Swahili...

Mohamed, Mohamed Abdulla / Mohamed, Said Ahmed / Mohamed, Mohamed A.
Kamusi YA Visawe/Swahili Dictionary of Synonyms = Swahili Dictionary of Synonyms = Swahili Dictionary of Synonyms
This is the only dictionary that focuses on Kiswahili synonyms. Drawing from all aspects of life, the authors have collated over 14, 000 entries, many of which have varying numbers of synonyms. The dictionary not only brings out the richness of Kiswahili as a language, but it also enriches the reservoir of Kiswahili vocabulary. The authors are distinguished academic linguistic scholars, and the dictionary has been developed bearing in mind bot...

CHF 74.00