Suche einschränken:
Zur Kasse

642 Ergebnisse - Zeige 21 von 40.

Safari ya Matumaini

Wanyonyi, John W.
Safari ya Matumaini
Mfanisi anaanza safari yake ya kujisaka punde akiwa shuleni katika madarasa ya malezi na chekechea. Anatembea katika dunia hii ambayo anajiona akiwa pekee katika ulimwengu wa familia za wazazi wote wawili, kinyume naye aliye na mama pekee. Dunia yake inampelekea kuwa na marafiki tofautitofauti kuanzia Moi's Bridge huko Kenya, Mwanza Tanzania na mara tena Nakuru na Mombasa nchini Kenya. Maisha yake, kimsingi yanaathiriwa pakubwa na ama marafiki...

CHF 39.90

Je, hili linatokea kwako pia? Matukio ya ajabu, matukio y...

Medico, Bruno Del
Je, hili linatokea kwako pia? Matukio ya ajabu, matukio ya mbeleni, telepathy, ndoto za kinabii
Ubinadamu umeelewa tangu maendeleo ya kwanza ya fahamu kwamba baadhi ya matukio muhimu hayatokani na bahati. Matukio yasiyoelezeka ni ishara kutoka kwa kiwango cha juu cha falsafa au kimungu. Hii ni akili yenye akili inayojaribu kuwasiliana na ufahamu wa mwanadamu. Kwa bahati mbaya, imani hizi zimefutiliwa mbali na sayansi ya kupenda vitu katika muda wa karne tatu zilizopita. Lakini mnamo 1980, majaribio ya fizikia ya quantum yalionyesha kuwa ...

CHF 20.90

N'na Kwetu

Ghassani, Mohammed Khelef
N'na Kwetu
Tungo nyingi zilizomo humu ziliandikwa baina ya robo ya mwisho ya mwaka 2010 na nusu ya mwanzo ya mwaka 2015. Hii ni miaka mitano ya mwanzo ya mshairi kuhamia na kuishi nchini Ujerumani - mbali na nyumbani kwao, Zanzibar. Ndani yake, kwa hivyo, muna muakisiko wa hisia za mgeni ugenini, akitayamani mengi mazuri ya kwao na akijutia kuyaacha nyuma yake. Ukweli ni kuwa wakati mtu anapoishi ugenini, ndipo hasa ile thamani ya kwao anapoitambua na ku...

CHF 39.50

Kolonia Santita

Maregesi, Enock
Kolonia Santita
Hii ni riwaya ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya inayozu-ngumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kud-hibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC), na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni ...

CHF 44.50

Kifaurongo

Budebah, Christopher Bundala
Kifaurongo
Diwani hi ina mashairi mseto yatakayomwezesha msomaji kujitanua bila ukinzani wa uguni na usiguni, usasa na umapokeo, hivyo azingatie fani, maudhui na muktadha. Dhana zilizodokezwa ni ukoloni mamboleo, usaliti, mila potofu, ukatili, unyanyasaji wa kijinsia, haki za mtoto, UKIMWI, rushwa, kiwi ya akili, uwajibikaji na nyinginezo. Christopher Bundala Budebah alizaliwa mwaka 1956 huko Maswa, Simiyu. Ni mhitimu wa M.A Kiswahili, Stashahada ya Uz...

CHF 34.50

Mualkemia

Coelho, Paulo
Mualkemia
Ndoto huotwa ili ziandamwe. Maisha yanakusudiwa kuishiwa. Baadhi ya vitabu huandikwa ili visomwe, vipendwe na virithiwe na vizazi. Mualkemia ni kitabu kimojawapo cha vitabu kama hivi. Mualkemia ni hadithi ya ndoto ya mvulana mchungaji wa mifugo kutoka eneo la Andalusia, nchini Uhispania. Mvulana huyu anasäri katika maeneo mengi yakiwemo masoko ya ajabu ya Afrika Kaskazini na baadaye kwenye jangwa nchini Misri. Mualkemia anamsubiri kwenye jangw...

CHF 35.90

Kilio cha Mwanamke

Abdalla, Idrissa Haji
Kilio cha Mwanamke
Sauti dhaifu ya kilio cha mwanamke ilinifikia pale nilipokuwa nimesimama karibu na vichaka vikubwa vilivyoshonana mbele yangu. "Hivi ni sauti ya binadamu kweli au ni mlio wa mnyama fulani?" Nilijiuliza swali hilo ingawa sauti ile niliyoisikia ilifanana sana na kilio cha mwanamke ambaye yuko katika maumivu makali. Hali fulani ya woga ilianza kuniingia polepole. Baada ya kuanza kupatwa na woga niliamua kumfuata bibi yangu ambaye nilimwacha akien...

CHF 39.90

Sinaye Baba

Mfaume, Mfaume Hamis
Sinaye Baba
Sinaye Baba ni diwani yenye mashairi ya kimapokeo yaliyobeba sauti ya kilio cha kundi la watu walio- kosa malezi kutoka kwa wazazi. Sauti hizo zilizojaa jitimai, zinaonesha ni kwa namna gani kukosa malezi kunavyoweza kuathiri jamii kwa kuifanya ipotoke zaidi. Hivyo diwani hii inamfungua macho msomaji, ili aweze kuona ni kwa namna gani malezi ni jukumu la jamii nzima. Diwani hii haijaacha kitu kwani imebeba masuala mbalimbali katika jamii, buru...

CHF 39.90

Kupaa Kama Tai

Stewart, Thomas Gregory
Kupaa Kama Tai
Kukulia kwenye nyumba isiyokuwa na baba wa kutegemewa na yenye mama anayekunyanyasa kihisia, ilikuwa rahisi kwa Tom Stewart kuingia kwenye mtego wa kundi la watu wabaya. Huku akizoea desturi ya kufuata ushawishi wa wengine na kutaka uthibitisho kutoka kwa wakubwa wake, Tom alijikuta amenaswa kwenye mwongo wa dhuluma kutoka kwa kiongozi wa kikundi chake cha Maskauti. Kiwewe cha utoto wake kuharibiwa kinamfuata hadi siku za baadaye, ambapo an...

CHF 23.90

Sophia and Alex Go to Preschool

Bourgeois-Vance, Denise
Sophia and Alex Go to Preschool
Sophia and Alex Go to Preschool" is the first of eleven volumes in the "Sophia and Alex" series, written by Author Denise Bourgeois-Vance and illustrated by Artist Damon Danielson. The story takes our two main characters, fraternal twins Sophia and Alex, to their first day of preschool where they meet their new teacher, Miss Anna. The children learn about the classroom and the fun activities planned for the day with children of diverse backgro...

CHF 19.90

Sophia and Alex Go to Preschool

Bourgeois-Vance, Denise
Sophia and Alex Go to Preschool
Sophia and Alex Go to Preschool" is the first of eleven volumes in the "Sophia and Alex" series, written by Author Denise Bourgeois-Vance and illustrated by Artist Damon Danielson. The story takes our two main characters, fraternal twins Sophia and Alex, to their first day of preschool where they meet their new teacher, Miss Anna. The children learn about the classroom and the fun activities planned for the day with children of diverse backgro...

CHF 28.90

Sophia and Alex Make Friends at School

Bourgeois-Vance, Denise
Sophia and Alex Make Friends at School
Sophia and Alex Make Friends at School" is one of eleven volumes in the "Sophia and Alex" series, written by Author Denise Bourgeois-Vance and illustrated by Artist Damon Danielson. The story follows Sophia and Alex as they meet new friends and interact with children at their new school. The children learn that even though their peers may look and act differently, they can find commonalities with them during play and learning time.The 32-page ...

CHF 28.90

Sophia and Alex Make Friends at School

Bourgeois-Vance, Denise
Sophia and Alex Make Friends at School
Sophia and Alex Make Friends at School" is one of eleven volumes in the "Sophia and Alex" series, written by Author Denise Bourgeois-Vance and illustrated by Artist Damon Danielson. The story follows Sophia and Alex as they meet new friends and interact with children at their new school. The children learn that even though their peers may look and act differently, they can find commonalities with them during play and learning time.The 32-page ...

CHF 19.90

Uhuru kwa Waliofungwa (Liberty to the Captives)

Durie, Mark / Hegeman, Benjamin
Uhuru kwa Waliofungwa (Liberty to the Captives)
Uhuru kwa Waliofungwa ni kitendea kazi cha kipekee kinacholeta uponyaji na Uhuru. Kinatoa mwongozo wa jinsi ya kutumia nguvu za Mslalaba ili kuingia katika, "uhuru wa utukufu wa Watoto wa Mungu" (Rum. 8:21). Maombi na maamuzi kwenye kurasa hizi yamefanyiwa majaribio katika mabara sita. Maombi haya yamekuwa ya manufaa makubwa kuwaweka watu huru, kuvunja laana za jamii na kuwaweka watu huru wawe wakakamavu na wainjilisti shupavu wa nguvu za woko...

CHF 23.50

Enyangi y'Ebitinge

Mokaya, Daniel M.
Enyangi y'Ebitinge
Traditional Wedding in Gusii (Enyangi y'Ebitinge), published posthumously, documents the process of old-style marriage in Gusii and related steps, culminating in a wedding ceremony. The process was meticulous and made of a series of steps, each with a very clear purpose and intended not just for the couple but also for their families and clans. Abagusii attached a lot of value to marriage. It was a major landmark in the 'growing up' of a man ...

CHF 42.90