Suche einschränken:
Zur Kasse

642 Ergebnisse - Zeige 1 von 20.

Mfalme - Nilipumzika

Mfalme, Dardanus
Mfalme - Nilipumzika
Mfame - Nilipumzika" is the modern Swahili poetry book from a multi-talented poet, writer, producer, composer, musician, and captain. This book is set apart from other Swahili poetry books because the author employed creative writing techniques to spice up the book, such as fusing proper Swahili vocabulary with street Swahili colloquial terms that are used in daily life. The poems in this collection have various feelings, as the author incorpo...

CHF 30.90

TOMMY NA MBEGU NDOGO (Tommy and the Little Seed) Swahili ...

Odunuga, Lateefat
TOMMY NA MBEGU NDOGO (Tommy and the Little Seed) Swahili Version
Kuza furaha ya asili na 'Tommy na Mbegu Ndogo'. Haditi hii ya kuvutia inawaalika wasomaji wachanga, wenye umri wa miaka 0 hadi 5, katika ulimwengu ambapo Tommy, mvulana mdogo mwenye kudadisi, anagundua uzuri wa kupanda mbegu ndogo na kushuhudia mabadiliko yake ya kupendeza, ni utangulizi kamili wa maajabu ya asili kwa chipukizi zako ndogo.

CHF 19.90

Juu ya Mambo Kama Hayo Hakuna Sheria(Swahili Edition)

Lee, Jaerock
Juu ya Mambo Kama Hayo Hakuna Sheria(Swahili Edition)
Roho Mtakatifu anapoingia katika mioyo yetu, hutusaidia kuelewa mambo ya ndani ya Mungu na kuishi kwa Neno la Mungu. Kwa mfano, anapokuwepo mtu ambaye hawezi kusamehe, hutukumbusha kuhusu msamaha na upendo wa Bwana na hutusaidia kumsamehe mtu huyo. Kisha, tunaweza kuufukuza uovu kwa haraka kutoka katika mioyo yetu na kuingiza wema na upendo. Katika njia hii, kadri tunavyozaa matunda ya Roho Mtakatifu kwa kupitia mwongonzo wa Roho Mtakatifu, ha...

CHF 19.90

Mji wa Kambare

Othman, Rashid Ali
Mji wa Kambare
Mji wa Kambare ni diwani iliyotungwa kwa umahiri na ustadi wa aina yake kuweza kumvutia kila anayeisoma, awe ni mwanafasihi na mwanaisimu ama mtu wa fani yoyote ile. Hii inatokana na uteuzi mzuri wa misamiati inayolandana vina na mizani kiasi ya kuukonga moyo wa msomaji. Muwala, ufundi mkubwa katika kupangilia maneno, ujenzi wa taswira na lugha ya picha, ubobezi katika kumfikirisha msomaji, upana wa dhamira na maudhui yapatikanayo katika tungo...

CHF 39.90

Chemchemi Jangwani

Juma, Mohamed Omar
Chemchemi Jangwani
Jangwa lenye jua kali, Navyo vivuli vichache, Vya miti isiyo hali, Jua linatoa cheche, Safari yenye machofu, Pepo kurusha mavumbi, Wengine wamepofuka. Tumshukuru jalali, Ameiotesha miche, ya miti yenye vivuli, Vya wengi sio wachache, Kiu ilipo- tukifu, Hapo ikabubujika, Chemchemi jangwani. Ni chemchemi jangwani, Yenye maji ya kutosha, Mwenye kiu kukatisha, Mwenye uchafu akoge, Ama ajitoharishe, Majumba yapigwe deki, Nafsi zisuuzike. Maji yaliy...

CHF 34.50

Sinaubi

Kidato, Mbwana
Sinaubi
Hii ni Riwaya ya kwanza ya Mbwana Kidato ambayo inatokana na tukio la kweli alilolisoma alipokuwa akipitia majarida mbali mbali ya Tanzania kwenye mtandao. Kwenye kurasa za mbele, alikutana na habari ya kuhuzunisha. Ilikuwa ni habari ya msichana mwenye ulemavu wa ngozi aliyekatwa viungo vya mwili wake. Hii ni kazi ya mwandishi, kazi ya kufikirika, yenye kuelimisha, kuakisi maisha yetu na kutuuliza maswali juu ya utu wetu. Je miongoni mwetu kun...

CHF 44.50

Haile Ngoma ya Wana

Ahmed, Ahmed Hussein
Haile Ngoma ya Wana
Diwani hii imeandikwa kwa lahaja ya Kimvita, lahaja izungumzwayo jijini Mombasa. Lahaja hii imetumiwa na washairi maarufu pamoja na wazoefu wa tungo katika nyakati mbalimbali kihistoria kama vile Shaha Muyaka wa Muhaji, Ahmad Nassir Juma Bhalo, Abdilatif Abdalla na sasa Ahmed Hussein Ahmed. Hii ni lahaja yenye manyumbulifu anuwai kwa namna sauti zake zinavyoleta maana tafauti zinapotamkwa na ina ukwasi wa misamiati. Mashairi yaliyomo kwenye di...

CHF 34.50

Bweni la Wasichana

Lubango, Lucas
Bweni la Wasichana
Usiku huo nilikuwa nasimamia maandalizi ya masomo ya usiku. Nikapigiwa simu na Rose, nikaipokea. Wakati naongea naye, nikawa natembea taratibu kama naelekea kwenye mabweni. Ghafla, nikaona taa za bweni wanalolala "Buibui" zinawaka na kuzima, nikajua ni hitilafu katika mfumo wa umeme. Nikataka kusogea ili nithibitishe kisha nitoe taarifa mapema kwa uongozi na matengenezo yafanyike. Nilisogea mpaka mlangoni, taa zikawaka moja kwa moja, na kwa ku...

CHF 39.90