Suche einschränken:
Zur Kasse

127 Ergebnisse - Zeige 1 von 20.

Oil and Gas in Tanzania

Barongo, Sylvester
Oil and Gas in Tanzania
Meet the Founder of Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) as he takes you on a journey through his career in the oil and gas sector, and how important events and wars in the industry impacted Tanzania in the 1970s. He describes the actual events on the field, the challenges faced from the founding of TPDC to the beginning of exploration in Tanzania, the global trans- formation of oil and gas in real time, how it was dealt with, and...

CHF 36.90

Mji wa Kambare

Othman, Rashid Ali
Mji wa Kambare
Mji wa Kambare ni diwani iliyotungwa kwa umahiri na ustadi wa aina yake kuweza kumvutia kila anayeisoma, awe ni mwanafasihi na mwanaisimu ama mtu wa fani yoyote ile. Hii inatokana na uteuzi mzuri wa misamiati inayolandana vina na mizani kiasi ya kuukonga moyo wa msomaji. Muwala, ufundi mkubwa katika kupangilia maneno, ujenzi wa taswira na lugha ya picha, ubobezi katika kumfikirisha msomaji, upana wa dhamira na maudhui yapatikanayo katika tungo...

CHF 39.90

Chemchemi Jangwani

Juma, Mohamed Omar
Chemchemi Jangwani
Jangwa lenye jua kali, Navyo vivuli vichache, Vya miti isiyo hali, Jua linatoa cheche, Safari yenye machofu, Pepo kurusha mavumbi, Wengine wamepofuka. Tumshukuru jalali, Ameiotesha miche, ya miti yenye vivuli, Vya wengi sio wachache, Kiu ilipo- tukifu, Hapo ikabubujika, Chemchemi jangwani. Ni chemchemi jangwani, Yenye maji ya kutosha, Mwenye kiu kukatisha, Mwenye uchafu akoge, Ama ajitoharishe, Majumba yapigwe deki, Nafsi zisuuzike. Maji yaliy...

CHF 34.50

Sinaubi

Kidato, Mbwana
Sinaubi
Hii ni Riwaya ya kwanza ya Mbwana Kidato ambayo inatokana na tukio la kweli alilolisoma alipokuwa akipitia majarida mbali mbali ya Tanzania kwenye mtandao. Kwenye kurasa za mbele, alikutana na habari ya kuhuzunisha. Ilikuwa ni habari ya msichana mwenye ulemavu wa ngozi aliyekatwa viungo vya mwili wake. Hii ni kazi ya mwandishi, kazi ya kufikirika, yenye kuelimisha, kuakisi maisha yetu na kutuuliza maswali juu ya utu wetu. Je miongoni mwetu kun...

CHF 44.50

Haile Ngoma ya Wana

Ahmed, Ahmed Hussein
Haile Ngoma ya Wana
Diwani hii imeandikwa kwa lahaja ya Kimvita, lahaja izungumzwayo jijini Mombasa. Lahaja hii imetumiwa na washairi maarufu pamoja na wazoefu wa tungo katika nyakati mbalimbali kihistoria kama vile Shaha Muyaka wa Muhaji, Ahmad Nassir Juma Bhalo, Abdilatif Abdalla na sasa Ahmed Hussein Ahmed. Hii ni lahaja yenye manyumbulifu anuwai kwa namna sauti zake zinavyoleta maana tafauti zinapotamkwa na ina ukwasi wa misamiati. Mashairi yaliyomo kwenye di...

CHF 34.50

Bweni la Wasichana

Lubango, Lucas
Bweni la Wasichana
Usiku huo nilikuwa nasimamia maandalizi ya masomo ya usiku. Nikapigiwa simu na Rose, nikaipokea. Wakati naongea naye, nikawa natembea taratibu kama naelekea kwenye mabweni. Ghafla, nikaona taa za bweni wanalolala "Buibui" zinawaka na kuzima, nikajua ni hitilafu katika mfumo wa umeme. Nikataka kusogea ili nithibitishe kisha nitoe taarifa mapema kwa uongozi na matengenezo yafanyike. Nilisogea mpaka mlangoni, taa zikawaka moja kwa moja, na kwa ku...

CHF 39.90

Safari ya Matumaini

Wanyonyi, John W.
Safari ya Matumaini
Mfanisi anaanza safari yake ya kujisaka punde akiwa shuleni katika madarasa ya malezi na chekechea. Anatembea katika dunia hii ambayo anajiona akiwa pekee katika ulimwengu wa familia za wazazi wote wawili, kinyume naye aliye na mama pekee. Dunia yake inampelekea kuwa na marafiki tofautitofauti kuanzia Moi's Bridge huko Kenya, Mwanza Tanzania na mara tena Nakuru na Mombasa nchini Kenya. Maisha yake, kimsingi yanaathiriwa pakubwa na ama marafiki...

CHF 39.90

N'na Kwetu

Ghassani, Mohammed Khelef
N'na Kwetu
Tungo nyingi zilizomo humu ziliandikwa baina ya robo ya mwisho ya mwaka 2010 na nusu ya mwanzo ya mwaka 2015. Hii ni miaka mitano ya mwanzo ya mshairi kuhamia na kuishi nchini Ujerumani - mbali na nyumbani kwao, Zanzibar. Ndani yake, kwa hivyo, muna muakisiko wa hisia za mgeni ugenini, akitayamani mengi mazuri ya kwao na akijutia kuyaacha nyuma yake. Ukweli ni kuwa wakati mtu anapoishi ugenini, ndipo hasa ile thamani ya kwao anapoitambua na ku...

CHF 39.50

Kolonia Santita

Maregesi, Enock
Kolonia Santita
Hii ni riwaya ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya inayozu-ngumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kud-hibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC), na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni ...

CHF 44.50

Kifaurongo

Budebah, Christopher Bundala
Kifaurongo
Diwani hi ina mashairi mseto yatakayomwezesha msomaji kujitanua bila ukinzani wa uguni na usiguni, usasa na umapokeo, hivyo azingatie fani, maudhui na muktadha. Dhana zilizodokezwa ni ukoloni mamboleo, usaliti, mila potofu, ukatili, unyanyasaji wa kijinsia, haki za mtoto, UKIMWI, rushwa, kiwi ya akili, uwajibikaji na nyinginezo. Christopher Bundala Budebah alizaliwa mwaka 1956 huko Maswa, Simiyu. Ni mhitimu wa M.A Kiswahili, Stashahada ya Uz...

CHF 34.50

Kilio cha Mwanamke

Abdalla, Idrissa Haji
Kilio cha Mwanamke
Sauti dhaifu ya kilio cha mwanamke ilinifikia pale nilipokuwa nimesimama karibu na vichaka vikubwa vilivyoshonana mbele yangu. "Hivi ni sauti ya binadamu kweli au ni mlio wa mnyama fulani?" Nilijiuliza swali hilo ingawa sauti ile niliyoisikia ilifanana sana na kilio cha mwanamke ambaye yuko katika maumivu makali. Hali fulani ya woga ilianza kuniingia polepole. Baada ya kuanza kupatwa na woga niliamua kumfuata bibi yangu ambaye nilimwacha akien...

CHF 39.90

Sinaye Baba

Mfaume, Mfaume Hamis
Sinaye Baba
Sinaye Baba ni diwani yenye mashairi ya kimapokeo yaliyobeba sauti ya kilio cha kundi la watu walio- kosa malezi kutoka kwa wazazi. Sauti hizo zilizojaa jitimai, zinaonesha ni kwa namna gani kukosa malezi kunavyoweza kuathiri jamii kwa kuifanya ipotoke zaidi. Hivyo diwani hii inamfungua macho msomaji, ili aweze kuona ni kwa namna gani malezi ni jukumu la jamii nzima. Diwani hii haijaacha kitu kwani imebeba masuala mbalimbali katika jamii, buru...

CHF 39.90

Ukombozi wa Wanyama

Singer, Peter
Ukombozi wa Wanyama
If I have to choose the book that brought me a big change, then I would say Animal Liberation by Peter Singers." -Jane Goodall "Singer's documentation is unrhetorical and unemotional, his arguments tight and formidable, for he bases his case on neither personal nor religious nor highly abstract philosophical principles, but on moral positions most of us already accept." -New York Times Book Review "A most important book that will change th...

CHF 55.50

Wind, Sand, Sky

Eichen, Marc
Wind, Sand, Sky
The stories in Wind, Sand, Sky are short, but rich with meaning. Set on the East African archipelago of Zanzibar, these intimate portraits invite the reader to accompany characters navigating personal challenges within a rapidly changing terrain linked to socio-economic development, tourism, and even climate change. The book will be of interest to students of Swahili and East Africa, and more broadly those seeking to understand the cultural te...

CHF 36.50

Upepo, Mchanga, Anga

Eichen, Marc
Upepo, Mchanga, Anga
Katika miaka zaidi ya 20 ya kufundisha Kiswahili kwa wageni, sija-kutana na andiko la hadithi nzuri kama hizi alizoandika mwandi-ihi Marc Eichen. Ufundi wake wa kutumia vitushi halisi, na kuvis-ana kwa maumbo mbalimbali ya lugha ni wa kipekee! Hadithi tatu hizi ni mchango mkubwa katika ufundishaji wa Kiswahili na fasihi kwa wenyeji na ugenini. Zitawasaidia pakubwa walimu pamoja na wanafunzi kufahamu uhondo wa lugha za Kiswahili na Kiingereza k...

CHF 36.50

Maximizing Educational Change

Rarieya, Jane / Lugalla, Joe L. P. / Mtenzi, Fredrick
Maximizing Educational Change
This book is a result of the Kenya National Education conference held In 2019 organised by the Aga Khan University-Institute for Educational Development, East Africa. The conference focused on contextually relevant issues affecting education in East Africa. The conference was held against the backdrop of a myriad of changes and reforms in the education sector in Kenya. These reforms have consistently not achieved the desired outcomes. Indeed s...

CHF 59.90

Peponi

Gurnah, Abdulrazak
Peponi
Swahili translation of the Nobel-prize winning author's 1994 novel Paradise. ¿Mzaliwa wa Afrika ya Mashariki, Yusuf anaondoka kwao kwa ghafla akiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Haimjii hata kwa sekunde moja, kwamba atakuwa mbali na wazazi wake kwa muda mrefu, na wala hafikirii kuuliza atarudi lini au kwa nini safari iliandaliwa kwa ghafla kiasi kile. Yusuf anaamini kuwa anamsindikiza Ami Aziz lakini ukweli ni kwamba 'ami' yake ni Mfanyabi...

CHF 34.90

African Women in Digital Spaces

Clark, Msia Kibona Clark Kibona / Mohammed, Wunpini Fatimata
African Women in Digital Spaces
From Tamale to Paris, Hong Kong to Texas and back to Ouagadougou, this collection of scholarly chapters, poetry and personal essays theorizes the lives of African women and people of marginalized genders on the continent and the diaspora. The book is an important intervention in conversations on social movements and their convergence with digital media and other praxis tools. The contributors bring a refreshing perspective to discourses on Afr...

CHF 59.90

Penzi la Damu

Manyanza, Anna Samwel
Penzi la Damu
Mstahamilivu hula mbivu, mtaka cha uvunguni sharti ainame, na mchumia juani hulia kivulini. Ni machache ya maadili yamuongozayo binti Malaika katika safari yake ya kutimiza ndoto zake. Kujiendeleza kielimu ndiyo ndoto yake kuu. Kwa vile Mungu hamtupi mja wake, anabahatika kwenda ughaibuni kitaaluma. Ni safari inayomtenganisha na mpenzi wake, Ben. Lakini Ben anaahidi kumsubiri hadi afuzu masomo yake. Katika kipindi hiki cha utengano, dunia inaw...

CHF 30.90

South Sudan

Nyaba, Peter Adwork
South Sudan
In this second edition of South Sudan: The Crisis of Infancy Peter Adwok Nyaba has incorporated the dynamics of socio-political developments in South Sudan since 2015 including an incisive and informative account of the recent "coup attempt" and its aftermath. Fired with passionate preoccupation to decipher the direction in which South Sudan is headed, the author harnesses his critical alertness to the political undercurrents in the country to...

CHF 54.90