Suche einschränken:
Zur Kasse

1 Ergebnis.

Hujafa Hujaumbika

Kagwa, F. M.
Hujafa Hujaumbika
Mwanga, almaarufu 'Fumo', ni kijana mdogo ambaye hana hakika na asili walafasili yake. Yeye ni msi baba, msi mama. Anachokifahamu ni kwamba'aliokotwa' kutoka katika makao ya mayatima. Licha ya kuwa yeye ni kiokote, mlezi wake anampa kila kinachostahili kwa mtoto mwenye wazazi wote.Hali inapoonekana kutakata, msiba baada ya msiba unabisha. Mlezi wake wapekee ambaye anamjua kama 'mama' anapigwa kalamu. Nyumba yao inauzwakwa wenye nacho. 'Dada ya...

CHF 40.90