Suche einschränken:
Zur Kasse

Gitaa na Hadithi Nyingine

Arege, Timothy

Gitaa na Hadithi Nyingine

Utanzu wa hadithi fupi ni kipera cha fasihi andishi ambacho kinakua kwa kasi sana. Ukuaji huu unashadidia maudhui yanayoakisi maendeleo ya jamii katika nyanja na idara zote za maisha zikiwemo uchumi, siasa, dini, miongoni mwa nyingine. Gitaa na Hadithi Nyingine ni mkusanyo mpevu wa hadithi zinazoangazia masuala tata yanayoibuliwa na matendo ya mwanadamu katika shughuli zake za kila siku.

CHF 37.90

Lieferbar

ISBN 9789966364920
Sprache swa
Cover Kartonierter Einband (Kt)
Verlag Lightning Source Inc
Jahr 201108

Kundenbewertungen

Dieser Artikel hat noch keine Bewertungen.