Suche einschränken:
Zur Kasse

Harufu ya Mauti

Yakisola, Jc

Harufu ya Mauti

Tulichukua njia ya mkato kuelekea nyumbani. Sikuonadalili zozote kuwa Maria anamtambua Idda, naminikajipongeza... "Willy niliiweka roho yangu mikononimwako nilipoamua kuishi nawe, lakini kwa sababuumeshindwa kuitunza vizuri nimeamua kuirudisha."Laiti mtu angelijua harufu ya mauti yake basi angeyakimbiakila yanapotaka kumfikia. Lakini kwa kuwamwanadamu hatambui kuwa matendo yake namwelekeo wa maisha ndiyo huwa harufu ya mautiyake, hujikuta amenaswa na mauti bila kutarajia.

CHF 25.90

Lieferbar

ISBN 9789966363022
Sprache swa
Cover Kartonierter Einband (Kt)
Verlag Lightning Source Inc
Jahr 198608

Kundenbewertungen

Dieser Artikel hat noch keine Bewertungen.