Suche einschränken:
Zur Kasse

Kalamu ya Maria Imepotea

Walibora, Ken

Kalamu ya Maria Imepotea

Maria anafurahia mwalimu anapoingia darasani. Ghafla, furaha hii inapotea
na anakuwa mwenye huzuni. Anaanza kulia, machozi yanamtoka. Maria
haioni kalamu yake. Kalamu ya Maria i wapi?


Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo
zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza
ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha
uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi si tu za kuelimisha
na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo
yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.

CHF 19.50

Lieferbar

ISBN 9789966641908
Sprache swa
Cover Kartonierter Einband (Kt)
Verlag For Our Sun Publishing
Jahr 20191218

Kundenbewertungen

Dieser Artikel hat noch keine Bewertungen.