Suche einschränken:
Zur Kasse

Mbali an Nyumbani

Shafi, Adam

Mbali an Nyumbani

Mbali na Nyumbani ni riwaya ya kitawasifu inayosimulia ari yamhusika mkuu ya kukisaka ikipendacho roho. Ukosapo mapenziutaondoka nyumbani uende mbali ukayasake, ukosapo masomoutafanya vivyo hivyo. Ukosapo mara ki au kazi utajipata barabaraniukitamba na njia kwenda kuisaka. Je, unaposukumwa na ari auutundu wa kitoto utaenda mbali na nyumbani kuukomeshautundu huo na kuizima kiu ya kujua usiyoyajua? Kama ni kutafutamaarifa, hiyo ni heri... mpaka safari igeukapo kuwa na shari ndipoutakapobaini ukweli kwamba nyumbani hamna mfanowe hatapawe ni pangoni.Adam Sha katika maisha ya kiuhalisia anatoka nyumbani kwaoZanzibar akiwa amefumwa na mkuki wa kiu ya elimu. Anapo kaBungoma anaselelea. Anafanya yote ya kufanywa na kijana warika lake. Kisha anatumia ujanja wake kuvuka mpaka na akajipatanchini Uganda. Anapo ka Khartoum karibu tamaa ya kuendeleana safari inamwondokea. Kula ni kwa nadra na kulala ni taabutupu. Hatimaye anajipata Kairo. Anaporudi Zanzibar, nyumbanihapamweki. Mara hii anajipata Ujerumani kwa ufadhili wa kisiasa, ambako nako pia panamkataa. Kisa na maana?Mbali na Nyumbani ni kisa cha matukio halisi lakini chenye msukowa kiriwaya na chenye sifa zote za riwaya.

CHF 65.00

Lieferbar

ISBN 9789966364548
Sprache swa
Cover Kartonierter Einband (Kt)
Verlag For Our Sun Publishing
Jahr 201107

Kundenbewertungen

Dieser Artikel hat noch keine Bewertungen.