Suche einschränken:
Zur Kasse

Nasikia Sauti ya Mama

Walibora, Ken

Nasikia Sauti ya Mama

Ken Walibora ni miongoni mwa waandishi arifu na maarufuzaidi wa fasihi ya Kiswahili waliowahi kuibuka katika AfrikaMashariki na ya Kati. Mbinu ya kalamu yake ina mvutomkubwa na uzuri wa kisanaa wa aina yake. Ameziandika tanzumbalimbali za fasihi kama vile riwaya, ushairi na tamthilia.Hata hivyo, Nasikia Sauti ya Mama ndiyo kazi yake yakwanza inayostahili kuitwa tawasifu, tawasifu inayoangaziakipande kidogo halisi cha maisha yake mwenyewe na wala siya wahusika wake ambao ni zao la ubunifu.Nasikia Sauti ya Mama ni tawasifu iliyosheheni mtindo wausimulizi wenye uwazi, ujasiri na umbuji. Uzuri wa kisanaa watawasifu hii unashadidia ukweli usiokanushika kwambamwandishi huyu, aliyeibuka kwanza na riwaya ya Siku Njema, ataendelea kutamba kwa miaka na mikaka katika medani yafasihi ya Kiswahili.

CHF 36.50

Lieferbar

ISBN 9789966312754
Sprache swa
Cover Kartonierter Einband (Kt)
Verlag Lightning Source Inc
Jahr 20140205

Kundenbewertungen

Dieser Artikel hat noch keine Bewertungen.