Suche einschränken:
Zur Kasse

Piga Bongo

Saffari, A. J.

Piga Bongo

Mayalla ni wakili mashuhuri lakini amezungukwa na jamiiiliyomkaba kama ukono. Yeye angependa kuishi safi safina lakiniwakubwa wake kazini, wadogo wake, mkewe na hata abiriaanaosafiri pamoja nao katika daladala moja wana tofauti naye, wote ni kama kaniki. Hawabadiliki na kutenda hata chembe yauadilifu. Ni waovu kinehe! Si maadili katika ndoa, si biashara, simaamuzi ya mahakamani, yote ni hali moja, tenge tahanani. Je, Mayalla ataiacha kazi ya serikali ili akimbilie Dubai nakuyakwepa maovu yaliyomzunguka? Je, atabaki palepale katikamzunguko wa dira ambao huishia dirani? Itambidi Mayallakupiga bongo ili kufanya maamuzi ya busara, kuiokoa jamii nanafsi yake. La sivyo...Hii ni riwaya ya kisasa kuhusu usasa na usasaleo wa jamiiiliyozingwa na maovu.

CHF 37.90

Lieferbar

ISBN 9789966315953
Sprache swa
Cover Kartonierter Einband (Kt)
Verlag Lightning Source Inc
Jahr 20190807

Kundenbewertungen

Dieser Artikel hat noch keine Bewertungen.